Shinda na SIM Account

Barnaba apanga kuvunja Record Billcanas

 

Baranas_face_2
Mwanamuziki kutoka nyumba  ya Vipaji Tanzania ‘THT’ Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’, amesema katika usinduzi wake wa wimbo wa Gubegube na gube dume, anatarajia kuanika maisha yake ya miaka mitano katika muziki.


Barnaba amesema katika uzinduzi huo atafanya vitu ambavyo hajawahi kufanya na yoyote, kwa  kutapambwa na Red Capert na Blue Capert.
Aidha amesema pia atagawa Cd, Pen na  watu watasaini Out graphi yake, na kuupiga wimbo huo kwa mara ya kwanza.
Itakuwa ni siku ya kipee, hakika kila mmoja atajua Barnaba anafanya nini kwenye muziki na lengo langu katika muziki huu, Uzinduzi utafanyika leo  Billcanas, na ndiyo itakuwa mara yake ya kwanza kufanya nyesho katika club hiyo maarufu tangu alipoanza muziki.

 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW