Burudani

Beatrice wa BSS aja upya

Beatrice_face

Mwanamuziki aliyetamba katika Bongo Star Search mwaka 2009, Beatrice William anasema ameshindwa kuingiza albamu yake sokoni kutokana na matatizo ya soko yanayoikumba muziki wa Tanzania.

 

Mwanamuziki huyo anasemaalbamu hiyo, aliyoiita Wacha waone, ilikuwa bidi aitoe mapema lakini alikutana na hali ngumu ya soko, kwani fedha ambazo alikuwa akihaidiwa kwa kulipwa kutokana na albamu hiyo ilikuwa ni sawa na kupata hasara.

Amesema kwa sasa anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao utakwenda kwa jina la Noma tu, ambayo amefanya katika studio ya Loches, chini ya mtayarishaji Endrew.

Aidha alidai kwa mashabiki wake kwamba wamezoea kumuona akichana, kama alivyoweza kukimbiza katika BSS kwa kuchana nyimbo za kiume.

Beatrice_na_Chritina_wawili

Breatice_Chritina

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents