Burudani

Beef lingine lipo jikoni: Ali Kiba na Diamond wafutiana vocals?!


Inasemekana kwamba kuna beef kati ya masuperstars wa muziki wa kizazi kipya nchini Ali Kiba na Nassib Abdul aka Diamond Platinumz, chanzo cha beef ni kushutumana kufutiana vocals katika nyimbo zao.

Habari tulizodaka zinasema kwamba Ali Kiba anadai Diamond ndiye aliyeanza utata baada ya kufuta sauti yake kwenye rekodi ya Lala Salama ambayo alishiriki awali, ila baada ya hiyo ngoma kwenda redioni hakuskia sauti yake!

Kwa upande wa Diamond yeye anadai kuwa ngoma ya Kiba inayofanya vizuri hivi sasa Single Boy walifanya wote ila mwishowe akuskia sauti yake na badala yake akaskia sauti ya Lady Jay Dee!!

Sikiliza wimbo wa Lala Salama:

Sikiliza wimbo wa Single Boy:

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents