Burudani

Belle 9 asema hupenda warembo wenye ‘Wowowo’ katika video zake

Msanii wa Bongo Flava, Belle 9 amesema mrembo anayeonekana kwenye video ya wimbo wake mpya ‘Dada’ yeye ndiye aliyemchagua.

Muimbaji huyo ameiambia Wasafi TV kuwa huwa anapenda warembo wa ina hiyo kutokea kwenye video zake.

“Yule dada mimi ndio nilichagua mwenye maumbile kama yale, na mimi napenda kwenye video zangu watokee,” ameseme Belle 9.

Utakumbuka wimbo wa Dada ndio wa kwanza kwa Belle 9 kutoa kwa mwaka huu tangu pale alipotoa wimbo uitwao Ma-Ole ambao alishirikiana na G Nako. Video ya Dada ilitoka May 26, 2018 na hadi sasa ina views 195,428 katika mtandao wa YouTube.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents