Shinda na SIM Account

Ben Pol ashindwa kuvumilia kwa Wolper, angalia alivyompa makavu kwenye ‘Sio Mbaya’

Muimbaji wa R&B Ben Pol ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Sio Mbaya’ akiwa amewashirikisha waimbaji wa Kundi la The Mafik. Katika wimbo huo muimbaji huyo ameonekana akieleza namna anavyompenda malkia wa filamu Jackline Wolper ambaye ameonekana kwenye video hiyo ikiwa ni miezi michache toka muimbaji huyo amtumie muigizaji Monalisa kwenye project yake ya wimbo ‘Ntala Nawe’.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW