Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Beyonce awaweka hadharani mapacha wake

By  | 

Beyonce ameamua kuwaonyesha hadharani watoto wake mapacha.

Muimbaji huyo kupitia mtandao wa Instagram, ameonyesha kuwa watoto hao wana mwezi mmoja tangu wamezaliwa.

“Sir Carter and Rumi 1 month today. ??❤️??????????,” ameandika Queen Bey kwenye mtandao huo.

Mapacha hao waliozaliwa ni mmoja wa kike na mwingine wakiume na tayari walishapewa majina ya Sir na Rumi Carter.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW