Burudani

Binamu kuangusha track mpya soon

binamu_dole

Mwana FA ambaye ni mkali wa mashairi katika fani ya muziki wa Bongo hivi karibuni anatarajia kutoa track mpya ambayo iko harakati za kuimalizia akiwa amemshirikisha msanii Belle9 kutoka pande za Morogoro.

 

Mwana FA aliiambia Bongo5 kuwa track hiyo anairekodia katika  studio za MJ Records pande za Masaki chini ya producer makini Marco Chali.

Hata hivyo pamoja na kubanwa ataje jina la track hiyo…Mwana Fa hakuwa tayari kwa maelezo kuwa haukuwa muda muafaka…na kuahidi kufanya hivyo muda utakapojiri…huku akisisitiza kuwa track hiyo itasikika  katika vituo vya radio mapema January 2011.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents