Burudani

Blac Chyna kuachia albamu yake ya kwanza iliyojaa wakongwe

Kwa kumuangalia Blac Chyna unafikiria mbali na kazi ya video vixen ni kitu gani kingine anaweza kufanya?

Basi mrembo huyo anatarajia kuachia albamu yake ya kwanza ambayo amerap. Inadaiwa kuwa katika albamu hiyo Chyna amepata msaada kutoka kwa wakali wa rap kama Yo Gotti, Tory Lanez, Jeremih na Swae Lee.

Mally Mall ambaye pia amewahi kufanya kazi na rapper Tyga, ametajwa kuandaa albamu hiyo.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, unadai kuwa Nicki Minaj ndio amemvuta Blac kuingia kwenye muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents