Michezo

Bondia Anthony Joshua apigwa KO ya kwanza Marekani, Avuliwa mikanda yake yote ya ubingwa, Drake ahusishwa na kipigo

Bondia Anthony Joshua amepokea kipigo kitakatifu cha TKO kutoka kwa Andy Ruiz Jr katika raundi ya saba kwenye mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu.

Mchezo huo uliopigwa alfajiri ya kuamkia leo Juni 2 nchini Marekani, Umepelekea Joshua kupoteza mikanda yake ya ubingwa wa dunia ya WBA, WBO, IBF na IBO.

Hili ni pambano la kwanza kwa Joshua kupoteza kwa TKO.

Hata hivyo, kipigo hicho kimekuja baada ya Joshua kuonekana akiwa karibu na rapper Drake ambaye kwasasa watu wengi wanamuona kama mtu mwenye gundu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents