Burudani

Producer Allan Mapigo aumizwa na kasi ndogo ya Rich Mavoko kwenye muziki wake (Video)

Mmoja kati ya watayarishaji wakongwe wa muziki, Allan Mapigo amefunguka kuzungumzia hali ya muziki wa Bongo Fleva kwa sasa pamoja na namna baadhi ya wasanii wakali wanavyokwama huku akiweka wazi namna muimbaji Rich Makovo anyokwenda kwa kasi ndogo wakati ana kipaji cha hali ya juu.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents