Soka saa 24!

Bongo5 waja na tamasha kubwa la kifamilia

bongo5_face

Kampuni ya Bongo5 Media inayomiliki website y Bongo5 wakiungana na kampuni ya Bia ya Breweries watengenezaji wa bia ya Kilimanjaro  lager imeandaa bonge la tamaha la kifamilia lenye kuchukua muda wa masaa 48, yaani siku mbili mfululizo kuanzia tarehe moja na mbili katika mwezi wa kumi.

Tamasha hilo litakusanya michezo mbalimbali, ikiwemo nyama choma michezo ya watoto, wasanii wa Bongo Movie, bendi za muziki dansi na wasanii wa Bongo Fleva, ambao kila mmoj ataonyesha kile ambacho jamii inahitaji kupata. Hili n tamasha pekee ambalo linakusanya watu wa lika zote ukichilia mbali tamasha la Famili Day. Haina sababu ya kukaa nyumbani na familia yako, kama siku zote unakaa, unakuwepo nyumbani, kwani siku hizi mbili  usiende kufurahi na familia yako, mpaka wawe wanaangalia kwenye tv… Ulinzi na usalam ni wa hai ya juu, bei ni shilingi elfu kumi ‘tu’ kwa siku zote mbili… AMKA SASA
bongo5_oriver

bongo5_waandishi

bongo_lager

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW