Habari

BREAKING NEWS: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Tawala (DAS) Kisarawe (+Video)

BREAKING NEWS: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Katibu Tawala (DAS) Kisarawe (+Video)

BREAKING NEWS : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Tawala (DAS) wa Wilaya ya Kisarawe Mtela Mwampamba, kwa madai ya kwamba amekuwa akifanya mambo ambayo hayaendani na maadili ya kazi yake ikiwemo tuhuma za kuchukua wake za watu.

https://www.youtube.com/watch?time_continue=2721&v=1iEYdIbn5eQ&feature=emb_title

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents