Burudani

Cardi B atengeneza historia Apple Music

Nani wa kumzuia Cardi B? Rapper huyo amezidi kukata mawingu kila kukicha na kuufanya muziki wake kuzidi kufika mbali huku akijitengenezea rekodi zake kibao.

Mrembo huyo amefanikiwa kutengeneza historia kwenye mtandao wa Apple Music kupitia albamu yake mpya ya kwanza Invasion of Privacy.

Albamu hiyo imefanikiwa kuwa streamed kwa mara milioni 100 kwa wiki moja tangu itoke.

Wakati huo huo ‘Invasion of Privacy’ imeshagonga Gold kwenye mauzo yake sokoni ndani ya siku sita ikiwa imeuza nakala (Copy) zaidi ya laki tano huku nyimbo za album hiyo ikiwemo wa Be Careful ikishika nafasi za juu kwenye chati za Billboard.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents