Burudani

Cassper Nyovest amkana Drake kwenye albamu yake

Cassper Nyovest amekanusha taarifa za kumshirikisha Drake kwenye albamu yake mpya.

Rapper huyo amefikia hatua hiyo, baada ya taarifa kuenea mitandaoni kwa picha zinayomuonyesha mtu mmoja anayefanana naye akiwa pamoja na rapper huyo wa Canada.

Kupitia mtandao wa Twitter, shabiki mmoja ameweka picha hiyo na kuandika, “Surprise surprise, Drake is on that new Cassper Nyovest album #Thuto.”

Hapo ndipo Cassper ambaye amejitengenezea rekodi na heshima kubwa Afrika Kusini, alipoamua kukanusha taarifa hizo kwenye mtandao huo kwa kuandika, “Lmao… That’s not me in the picture. Drake is not on the album. I haven’t even spoke to him in my life. No surprise features. Just music.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents