Burudani

Cassper Nyovest ayatamani mafanikio ya Wizkid

By  | 

Cassper Nyovest ameonekana kuvutiwa sana na mafanikio anayoendelea kuyapata Wizkid katika muziki wake unavyozidi kutoboa duniani.

Rapper huyo wa Afrika Kusini, kupitia mtandao wa Twitter ameandika ujumbe wa kuvutiwa na Wizkid na amesema anatamani kuona siku moja muziki wa Hip Hop wa Afrika Kusini unafika ambapo ngoma za muimbaji huyo wa Nigeria zimefika.

“Wizkid inspires me so much man. I know we doin 2 different genres of music bt I dream of a day where SA Hip Hop travels the world like that. The Biggest problem with SA Hip Hop, is SA Hip Hop. 2 worried about stupid shit either dan pushing the culture forward&applauding each other.,” ameandika Cassper.

“The dopest thing about SA Hip Hop is how competitive it is. Ain’t no flukes/amateurs out here making it to the top. Only Gorillas ouchea!!!,” ameongeza.

Tayari Wiz ameshafanya kazi na mastaa wakubwa duyniani kama Chris Brown, Drake, Major Lazer, Trey Songz, Dolla $ign na wengine.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments