Burudani

‘Certified Killa vs Certified Bitch’ – Floyd Mayweather ajigamba dhidi ya Conor McGregor.

Tangu Floyd Mayweather alipompiga Conor McGregor na kuweza kuweka rekodi ya kushinda mapambano 50,

Mayweather alistaafu kwa mara ya pili katika pambano lake na McGregor huku McGregor akifanya kila mtu kumsubiri yeye kurudi ulingoni , wawili hawa wanaendelea kutumia vyombo vya habari vya kijamii kujigamba dhidi ya mwenzake.
Hii hapa ni moja kati ya majigambo kutoka kwa Mayweather aliyoposti hivi karibuni.

https://www.instagram.com/p/BfDUdqigdDg/?taken-by=floydmayweather

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents