Soka saa 24!

Chege na Temba wafunika uzinduzi Twanga

twanga_temba_dansi
Kundi la muziki la Tmk Wanaume Family linaoongozwa na Chege na Temba jana waliweza, kufanya makubwa kwa kuwavuta watu waliokuwa mbali ambao muda mwingi walikuwa wakisita kusogea, katika uzinduzi wa albamu ya 11 ya Twanaga Pepeta Dunia Daraja.Mashabiki ambao muda mwingi walikuwa mbali na jukwaa, lakini walipopanda wasanii hao wawili, basi watu wote walikimbizana kuwahi nafasi jambo ambalo linaonyesha kukubalika kwa wasanii hao. pia wapo wengine walioshindwa kuvumilia na kujikuta wakipanda jukwaani na kudensi pamoja. Chini ni picha za matukio ya wasanii mbalimbali..

twanga_asili

twanga_chege

twanga_mataluma

twanga_mataluma2

twanga_schen

twanga_sengenii

twanga_sengeti22

twanga_show_mashabiki

twanga_wanaume

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW