Burudani
Chris Brown abadilisha muonekano
Katika hali ya utofauti na wa aina yake, Chris Breezy ametoka na muonekano wa Nywele za njano kana kwamba yeye ni Sisqo katika enzi zake.
Alipohojiwa kuhusu maamuzi hayo, Breezy alisema kwamba inabidi kuwa tofauti sometime na mwaka huu yeye analipua na nywele za Blonde kama mwanzo mpya.
Wadau mnaionaje hii?