Chris Brown aota kufanya ziara na Beyonce, Rihanna na Bruno Mars

Chris Brown ameanza kuota ndoto ambazo zinaweza kuwa ngumu kufanyika kwa mara moja.

Msanii huyo anatamani kuona ziara ya kimuziki itakayo vunja rekodi zote ambayo itawakutanisha Beyonce, Rihanna na Bruno Mars yeye mwenyewe na yeye mwenyewe.

Brown ameonyesha ndoto zake hizo kupitia mtandao wa Twitter kwa kuandika, “Just thinking…. A CRAZY WORLD TOUR would BEYONCE, RIHANNA, BRUNO MARS, CHRIS BROWN. “2 for 2”. And if y’all decide to do it without me… give me 10%. 😏.”

Endapo hilo litakuja kufanikiwa kufanyika kunauwezekano mkubwa wasanioi hao wakaingiza mkwanja mrefu kutokana na ziara hiyo kwani kila mmoja amewahi kufanya ziara zake na kuingiza fedha nyingi zaidi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW