Burudani

Ciara na rapper Future wapata mtoto wa kiume, wampa jina la baba yake

Mwimbaji Ciara na mchumba wake rapper Future wamepata mtoto wa kiume waliyempa jina la Future Zahir.

Ciara and Future
Ciara na Future

Ciara (28) amejifungua siku ya Jumatatu asubuhi (May 19) huko Los Angeles, Marekani.

Future Zahir ni mtoto wa kwanza kwa Ciara na kwa Future anakuwa mtoto wanne.

ciara son

Jana Ciara alipost picha ya mkono wa mwanaye Instagram na kuandika, ‘FUTURE ZAHIR WILBURN 9lbs 10oz May 19 2014’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents