Michezo

Nainggolan atundika daluga timu ya Taifa, Cleveland Cavaliers wafanya Come Back NBA (Video)

Licha ya kuwa nyuma kwa michezo miwili vijana wa Tyronn Lue Cleveland Cavaliers wameweza kung’ara katika mchezo wa alfajiri ya kuamkia leo baada ya kushinda mchezo wao wa pili mfululizo dhidi Boston Celtics. Pia katika kuelekea kombe la dunia nchini Russia, mchezaji wa klabu ya Roma na timu ya Taifa ya Belgium, Radja Nainggolan ameamua kustaafu kuichezea timu ya taifa baada ya kuachwa na kocha wa timu hiyo, Roberto Martínez.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents