Habari

Comorien amuenzi Amina Chifupa, atunga wimbo

Said ComorienMsanii Said Comorien ametunga wimbo maalumu kwa ajili ya kumuenzi marehemu Amina Chifupa unaokwenda kwa jina la ‘Kalale Pema ‘, bofya hapa kusikiliza wimbo.

Msanii Said Comorien ametunga wimbo maalumu kwa ajili ya kumuenzi marehemu Amina Chifupa unaokwenda kwa jina la ‘Kalale Pema ‘, imefahamika.


Alisema kuwa ameguswa na kifo cha kijana mwenzake ambaye aliweza kuwa mstari wa mbele katika kuwatetea vijana hivyo ameamua kutunga wimbo huo, ikiwa ni njia mojawapo ya kumkumbuka.


Said Comorien


Bofya hapa kusikiliza wimbo
{play}said_comorien_kalale_pema.mp3{/play}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents