Michezo
Danny Simpson aongeza mkataba wa miaka mitatu Leicester City
Mchezaji wa klabu ya Leicester City Danny Simpson mwenye miaka 29 amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu kunako timu hiyo Simpson ambaye hucheza nafasi ya beki wa kulia.