Burudani

Darassa atibua hali ya hewa mtandaoni, aachia ngoma mpya ‘Achia Njia’ wadau wasema ni kali kuliko Muziki (+video)

Baada ya kukaa kimya kwa mwaka mmoja na nusu bila kuachia ngoma, hatimaye Darassa amefanikiwa kurudi kwa kishindo na mkwaju mpya wa ACHIA NJIA.

Kwenye wimbo wa Achia Njia, Darassa ametumia staili yake ile ile ya kughani. Video ya wimbo huu imeongozwa na Justin Campos na mdundo umegongwa na Abba.

Baadhi ya maoni ya wadau kwenye mitandao ya kijamii wameufananisha wimbo huo na hit song yake ya MUZIKI huku wengi wao wakimpongeza kwa kurudi kwenye gemu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents