Burudani ya Michezo Live

Diamond atua kushuhudia reli ya kisasa ya SGR, aeleza kinachomuumiza Tanasha akija Dar (Video)

Msanii ghali zaidi wa muziki nchini Diamond Platnumz pamoja na wasanii wa lebo yake ya WCB, Rayvanny, Lavalava, Mbosso pamoja na Zuchu waliweza kupelekwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda kuushuhudia mradi wa reli ya kisasa (SGR) ambapo kwa sasa upo katika hatua za mwisho.

Diamond amesema Tanasha akija Tanzania anaumizwa sana na maendeleo ya miundombinu ya barabara za Dar Es salaam hasa hasa mabasi ya mwendokasi.

Rais huyo wa ECB amesema mwaka 2020 hatapata shida kwenye kampeni ya kumnadi Rais Magufuli kwa kuwa vitu vingi vilivyoahidiwa vimetokelezwa kwa vitendo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW