Burudani

Diamond Platnumz, Vanessa Mdee waitikisa Dubai wafanya show ya kufa mtu (+Video)

Diamond Platnumz aitikisa Dubai afanya show ya kufa mtu (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka katika lebo ya WCB pia akiwa ndio C.E.O wa lebo hiyo Diamond Platnumz amefanikiwa kufanya show kubwa sasa katika tamasha la OneAfricanMusic2018.

Tamasha hilo ambalo hufanyika kila mwaka na kwa mara hii likiwa limefanyika Dubai msanii huyo kutoka Tanzania aliweza kufanya Show kubwa sana.

 

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents