Burudani

Diva akataa mahari ya Tsh. Milioni 500

Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm, Diva amesema kwa sasa haangalii tena ukubwa wa mahari bali anachohitaji ni mapenzi ya kweli.

Kipindi cha nyuma mtangazaji huyo alikaririwa akisema ili kuolewa anahitaji kutolewa mahari ya Tsh. Milioni 500 ila kwa sasa hataki tena hilo.

“Milioni 500 imebadilika sasa hivi nahitaji mtu mwenye mapenzi na mimi ya ukweli, sitaki mtu anayekuja kunitumia kwa vitu vyake halafu inaaza kuathari kazi yangu, no 500 just need real love,” amesema Diva.

Hivi karibuni Diva ameachana na mpenzi wake, Heri Muziki ambaye ni muimbaji wa Bongo Flava.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents