Burudani

Dj Khaled atengeneza historia hii

‘I’m The One’ ya Dj Khaled inazidi kupenya sehemu ngumu.

Wimbo huo umefanikiwa kuweka historia katika mtandao wa Apple kwa kusikilizwa zaidi katika wiki ya kwanza tangu ulipotoka. Kupitia mtandao wa Instagram, Khaled amewashukuru mashabiki wake kwa kuandika:

Fan Luv! Special alert!!! ? We got more groundbreaking news in. We just got the news in that #ImTheOne” is most streamed song EVER globally in one week in @applemusic’s history!!! Bless up JIMMY IVOINE @thelarryjackson !!!!make sure everyone tune in to #wethebestradio every Friday’s on @applemusic #Beats1 #GRATEFUL THE ALBUM RELEASE DATE SOON COME !

Kwa sasa mashabiki wanaisubiri kwa hamu albamu yake mpya ‘Grateful’ ambayo aliahidi kuiachia mwaka huu huku akiwakutanisha mastaa kibao katika albamu hiyo akiwemo Jay Z, Beyonce, Mariah Carey, Rihanna, Alicia Keys, Travis Scott, Lil Wayne na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents