Burudani
Documentary: Zaiid & P The MC – Mwenge Kiwalani (Video)
Zaiid na P The MC wanaelezea ushirikiano wao kwenye mradi wa mixtape iitwayo ‘Mwenge Kiwalani’. Kwenye documentary hii wanaelezea wapi walikutana na kuamua kufanya mixtape ya pamoja.