AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Dogo Janja avua nguo zote kwenye video ya wimbo wake mpya ‘Imani’, adai hana urafiki tena na dunia

Hakuna ubishi ni ubunifu uliotukuka; Msanii wa muziki wa Hip Hop hapa Tanzania, Dogo Janja kupitia video ya wimbo wake mpya wa IMANI ameonekana akivua nguo zote na kuvaa majani ya migomba.

Video hiyo iliyoachiwa masaa 19 yaliyopita mtandaoni, tayari imepata views zaidi ya elfu laki moja na wimbo huo umetokea kuwavutia mashabiki wake karibia wote waliotoa maoni yake.

Kichupa hicho kimeongozwa na Director Yoel Mrisho na Producer ni Genius, tazama kichupa hicho hapa chini.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW