Michezo

Donald Ngoma arudisha furaha Jangwani: Amwaga wino mapemaa!

Mshambuliaji wa  Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo katika Ligi Kuu Bara msimu ujao.

Tokeo la picha la Donald Ngoma
Donald Ngoma

Kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za timu hiyo wamethibitisha taarifa za usajili huo kwa kuandika “Donald Ngoma Raia wa Zimbabwe ni mali ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili.”

Ngoma ambaye alikuwa akihusishwa kujiunga wapinzani wa Yanga, Simba kabla ya kuzuka kwa taarifa za kujiunga na klabu ya Polokwane City inayoshiriki Ligi ya kuu ya Afrika Kusini ‘ ambapo alitua nchini usiku wa jana na  mchana  wa leo amesaini mkataba huo.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents