Burudani

Donald Trump aingizwa kwenye kesi ya Azealia Banks na mtandao wa twitter

Muigizaji mkongwe wa Marekani, Bette Midler,amekuwa msanii wa kwanza kumtetea Azealia Banks kwa kitendo cha Twitter kuifungia akaunti yake.

jay-z

Wiki iliyopita mtandao huo uliifungia akaunti ya Azealia Banks kwa kutumia akaunti hiyo kumtukana na kumtumia maneno ya kibaguzi aliyekuwa member wa kundi la One Direction, Zayn Malik.

Kupitia akaunti yake ya Twitter, Bette Midler ameandika: “Twitter deactivated Azealia Banks’ account for homophobia & racism? So why is Donald Trump still here?”

Milder ametumia kauli hiyo kwa Trump kutokana na kashfa ya ubaguzi inayomkumba mgombea huyo wa tiketi ya urais wa Marekani kupitia Chama Cha Democretic.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents