Habari

Donald Trump akutana na Kim Kardashian kujadili hili

Rais wa Marekani Donald Trump, Jumatano hii amekutana na Kim Kardashian kwenye Ikulu yake iliyopo mjini Washington DC.

Kwa mujibu wa ujumbe wa Trump ambao ameuweka kwenye mtandao wake wa Twitter baada ya kukutana na mrembo huyo, amethibitisha kuwa kikao chao kilikuwa kinahusu mageuzi ya sharia za magerezani na hukumu.

“Great meeting with @KimKardashian today, talked about prison reform and sentencing,” ameandika Trump kwenye mtandao huo.

Mageuzi ya sheria za magereza imekuwa suala muhimu kwa Marekani ambapo itapanua mipango ya wafungwa wengi kuhukumiwa vifungo vya nyumbani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents