Burudani

Drake kumtosa Lil Wayne

drawizzy

Tetesi zilizosambaa katika ulimwengu wa hip hop ni kuwa rapper drake anaondoka kwenye kabel iliyomtambulisha kwenye anga za muziki Marekani, Young Money inayomilikiwa na Lil Wayne.

Habari hizi zimeenea punde tu Drake alipomsimamisha kazi meneja wake wa miaka mingi Cortez Bryant. Wengi wanasubiria Drake uondoka kwenye label ya Young Money hasa baada ya rapper huyo kuandika kwenye ukurasa wake wa Twitter:

Hii iliwaacha wengi wakijiuliza kama ndio anawaaga Young Money kwa mafumbo.

LiL Wayne naye aliandika kwenye Twitter page yake mida hiyo hiyo na kusema,

Inasemekana Drizzy Drake anawea akahamia Roc Nation ya baba mtarajiwa Jay Z kufuatia bifu la Hov na Weezy.

Well we sure hope kwamba Drizzy hatosepa Young Money kwani they make a great team kwa game ya Hip hop!

 

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents