Burudani

Dully Sykes kufanya Birthday party

Dully_shoo
Mwanamuziki wa kizazi kipya  Dully Syskes, anatarajia kufanya Birthday yake akiambatanisha na uzinduzi wa video yake mpya.

Mwanamuziki huyo anatarajia kuwabanjua watu na nyimbo yanke ya Bijou, Handsome, Ladies Free, Salome na kuwatumbuiza na kitu kipya cha Bongo Fleva.

Uzinduzi huo unatarajia kufanya katika ukumbi wa Club Billcanas, katika jumapili ya kwanza katika mwezi wa kumi na mbili yaani tarehe 4 mwaka huu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents