Habari

Eric Shigongo, Dkt. Charles Tizeba ngoma droo kura za maoni Buchosa Mwanza

Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza limekuwa na jumla ya wajumbe 751 waliopiga kura za maoni ili kumchagua mtu atakayepeperusha bendera ya CCM Uchaguzi Mkuu 2020


Katika kura hizo zilizopigwa, Dkt. Charles Tizeba na Eric Shigongo wamepata kura sawa 354. Yaani nafasi ya kwanza imechukuliwa na wote wawili kutokana na kuwa na idadi sawa ya kura

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents