Michezo

FA kuwaadhibu wanaopenda kujiangusha ovyo Uwanjani

By  | 

Chama cha soka nchini Uingereza, FA kimesema kitaanzisha sheria mpya kwa wachezaji wanaojirusha hovyo uwanjani ama wale wanaodanganya kuumia wakati wa mchezo ili kupoteza muda.

Sheria hiyo mpya itaanza kutumika kwenye ligi kuu msimu ujao.

FA imesema kuwa jopo la wataalam litakaa kujadili namna ya kushughulikia suala hilo, huku tukio zima likirudiwa kutazamwa na muamuzi, meneja wa timu pamoja na mchezaji mwenyewe kabla ya kutolewa kwa hukumu.
Kama kila mmoja ataridhishwa juu ya mbinu za uongo zilizotumiwa, mchezaji husika atafungiwa michezo miwili.

BY HAMZA FUMO

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments