Burudani

Fally Ipupa kuachia albamu mpya mwezi Julai

By  | 

Fally Ipupa ameahidi kuachia albamu yake mpya Julai 7 mwaka huu.

Kupitia mtandao wa Twitter, msanii huyo kutoka Congo DRC ametaja jina la albamu hiyo ni ‘Tokooos’.

“Albamu mpya #Tokooos July 7 ? – Inapatikana katika digital awali kuanzia Ijumaa,” ameandika kwenye mtandao huo.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments