Burudani

Fella aangusha Oktoba 31!!

 

Baada ya kutoa ngom ya KR, ‘Choo cha kike‘ na TMK Family kutoka na kazi yenye jina la ‘Wapinzani’ ikimshirikisha Q-Chilla, Mkubwa Fella ametengeneza ngoma yenye jina la Oktoba 3 1 kwa ajili ya kuwahimiza vijana wenzake kujitokeza siku ya kupiga kura.

Imerekodiwa katika studio za Poteza Rec iliyoko TMK, akimshirikisha producer wake Suresh. Bofya hapa kusikiliza ngoma hiyo!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents