BurudaniVideos

Filamu ya Kiumeni kuzinduliwa Mombasa kwenye hoteli aliyofikia Chris Brown

Filamu ya Kitanzania inayosubiriwa kwa hamu, Kiumeni, itazinduliwa Mombasa, Kenya, March 30.

Uzinduzi huo utafanyika kwenye hoteli ya kifahari visiwani humo, English Point Marina ambayo Chris Brown alifikia mwaka jana alipofanya show yake.

Kwenye hoteli hii watafikia mastaa wa filamu hiyo akiwemo Ernest Napoleon, Idris Sultan, Antu Mandoza, Irene Paul na wengine. Filamu hiyo itaanza kuoneshwa March 17 kwenye majumba ya sinema jijini Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents