Mahojiano

G Nako ataja wasanii wa Kenya na Nigeria aliofanya nao ngoma, Aeleza sababu za kutoungana na Alikiba kwenye tour yake “Gusanisha ngoma namba moja Tanzania” – Video

G Nako ataja wasanii wa Kenya na Nigeria aliofanya nao ngoma, Aeleza sababu za kutoungana na Alikiba kwenye tour yake "Gusanisha ngoma namba moja Tanzania" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @gnakowarawara amefunguka kuhusu ngoma yake mpya ya #Gusanisha na kusema kuwa ndio ngoma namba moja kwa sasa Tanzania na Afrika mashariki.


Mbali na hilo @gnakowarawara amefunguka kuhusu baadhi ya Collabo alizozifanya nchini Kenya pamoja na Nigeria kwa ajili ya kuupeperusha muziki wa Bongo Fleva kimataifa. Alipoambia ajipe maneno mawili G Nako alisema “G Nako ni msanii mkali na anaupenda kuona mafanikio katika tasnia ya muziki nchini kwake”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents