DStv Inogilee!

G ra aachia nyimbo mpya

G-RA

Mkali wa muziki wa kizazi kipya anayekuja kwa kasi  jira joseph tembo, mwenye umri wa miaka  19, toka  pande za Malindi Kenya  ameachia wimbo wake mpya  unaokwenda kwa jina la take it slow, ikiwa ni  wimbo wake wa tatu tangu alipoingia kwenye gemu.  Nyimbo hiyo imetengenezwa kwenye studio ya Balozi records iliyopo huko huko Malindi chini ya Producer mahili Eazy-J .


Ila mwisho wa siku anasema….
I APPEAL FOR YOUR PROMOTION AND SUPPORT FOR THIS SONG I ALSO WELCOME ANY, ADVICE AND OPINION REGARDING THE SONG THANKS

G rafeat Learnheart

{mmp3}Gra-take it slow-ftkleanheart.mp3{/mmp3}

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW