Burudani

G-Solo aja na barua ya mwalimu

By  | 

G_SOLO

Mwanaharakati kutoka katika kundi la muziki wa kizazi kipya Vinega au ukipenda unaweza kuwaita Ant Virus, G-Solo ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Barua ya Mwalimu.Hebu msikilize kisha ujue nini hasa anacholenga kwenye barua hiyoo…

G-Solo- Barua kwa mwalimu

{mmp3}G-solo-baruayamwalimu.mp3{/mmp3}

Pata new Track kutoka kwa Blaka feat Domo Kaya (Shamba la bibi)

{mmp3}Blaka-shambalabibi.mp3{/mmp3}

 

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments