Burudani

Happy Birthday A.Y

 

Mtu mzima A.Y leo ni birthday yake Bongo5 inamtakia siku njema na Maisha marefu lakini jana Bongo5 usiku Bongo5 iliweza kuwa na A.Y pande za Thai Village kwa Machozi Band na A.Y aliweza kuimba Nyimbo zake kadhaa kama Yule, na nyinginezo kwa mashabiki wa Machozi Band.
Happy Birthday A.Y tunakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kimuziki na maisha kwa ujumla.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents