Videos

Harmonize aachia video ya wimbo wa ‘NITEKE’ baada ya kutikisa na Kainama, amtumia mchumba wake Sara kwenye video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Harmonize ameachia video nyingine ya wimbo wake wa NITEKE kutoka kwenye EP yake ya Afro Bongo.

Kwenye video hiyo, amemtumia mchumba wake Sara kama video Queen na asilimia kubwa ya video hii imechukuliwa Zanzibar na aliyeiongoza ni Director kenny kutoka Zoom Production. Enjoy

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents