Habari

Hawa ni Wapenzi??

Fally Ipupa na Olivia
Kuna tetesi kuwa Fally Ipupa na ex-first lady wa G-Unit Olivia ni wapenzi na mchizi ameshamvalisha pete ya uchumba

Kuna wimbo uliotoka siku za karibuni itwayo Chaise Electrique, ni collabo ya Fally na Olivia na ngoma ni kali sana.

Bofya hapa kuangalia video ya hiyo ngoma , audio itaanikwa karibuni..

Je wana mahusiano ya kimapenzi kweli?

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents