Michezo

Hivi ndio vikosi vya Simba SC vs Mtibwa Sugar

Klabu ya Simba imetangaza kikosi chake cha maangamizi dhidi ya Mtibwa Sugar, kikosi ambacho kitaongozwa na goli kipa, Aishi Manula huku Okwi na John Bocco wakiongoza mashambulizi kunako dimba la Uwanja wa Uhuru.

Tazama kikosi kamili cha Simba na Mtibwa Sugar.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents