Burudani

Hizi ndio picha za Irene wa video ya Kwetu, zinazowatesa vidume Instagram

Ukiulizwa utaje vigori wakali Bongo hutaweza kuacha kulitaja jina la Irene maarufu kwa jina la Lyyn kwenye mtandao wa Instagram.

Mrembo huyu ameonekana kwa mara ya kwanza kwenye video ya wimbo wa Rayvanny ‘Kwetu’ ambao alicheza kama model. Japo mrembo huyo ameonekana kuwa kimya kwa kipindi kirefu lakini kila kukicha mrembo huyu amekuwa akitupia picha zinazomuonyesha jinsi anavyozidi kunoga na kuwafanya vidume wengi kutoka udenda.

Tazama picha hizi hapa chini za mrembo huyo zinazo wachanganya vidume huko Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents