Tupo Nawe

Hizi zinaweza kuwa ni picha bora na za ufundi Tanzania zilizopigwa mwaka jana

Queen Darleen
Queen Darleen

Fani ya upigaji picha inahitaji ubunifu kama zilivyo fani zingine kama uchoraji. Ndio maana fani hiyo hufundishwa chuoni ambapo wapiga picha pamoja na ujuzi wao binafsi huongezea maarifa zaidi katika kupiga picha zinazoongea.

Katika kutolea mfano wa ujuzi katika kupiga picha tumeamua kutumia mfano wa picha zinazopigwa na Pernille Bærendtsen (mwanamke) raia wa Denmark ambaye hufanya kazi kama mtaalam wa mawasiliano katika taasisi ya Dunia Duara.

Mpiga picha huyo amekuwa akihusika pia na kupiga picha za Zitto Kabwe na hizo ni miongoni mwa picha alizopiga mwaka jana zikiwemo zile za wasanii wa Kigoma Allstars.

Linex akiongea jambo
Linex akiongea jambo

539637_368640863209650_1059757578_n (640x425)

543240_10152175120980438_1925687665_n (425x640)

Recho
Recho

558257_369615989778804_1625811943_n

560877_368640069876396_205565875_n

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW