Burudani ya Michezo Live

Husna: Nikificha kwamba nampenda Diamond nitaumia (Video)

Miss Kinondoni na Sinza, Husna Mohamed ameeleza sababu ya kupost picha za Diamond mtandaoni huku akimsifia.

Mrembo huyo amedai anafanya hivyo kwa kuwa anampenda sana msanii huyo wa muziki ambaye kwa sasa ni baba wa watoto 4.

Husna amedai akijaribu kijizuia kufanya hivyo anakuwa anaumia na sio dhambi kuonyesha upendo kwa mtu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW